Stika za kufunika magari au vifaa kwa mwonekano wa kisasa
Stika hizi hutumika kufunika magari na pikipiki kwa mapambo na ulinzi. Hutoa mwonekano mpya bila kupaka rangi upya, hulinda rangi asilia dhidi ya mikwaruzo midogo na mwanga mkali wa jua. Ni njia rahisi na ya kitaalamu kubadilisha muonekano wa gari au pikipiki yako kwa muda mrefu.
These stickers are used to wrap cars and motorcycles for decoration and protection. They give a fresh look without repainting, protect the original paint from minor scratches and UV rays, and provide a professional and durable makeover for your vehicle.