Stika za tint (kivuli kwa madirisha na vioo)
Filamu za Tinted zinazotumika kwenye madirisha ya magari na majengo. Hupunguza mwanga mkali, joto na mionzi ya UV, na kuboresha faragha na mwonekano wa kisasa.
Tinted films for car and building windows. They reduce glare, heat, and harmful UV rays while enhancing privacy and giving a sleek, modern look.